Mti wa jamii ya mchaichai, kwenye pot nyeupe ya simenti.
Unaweza kupata kwenye poti nyeusi, nyeupe na ya bronze.
Product customization
(edit with the Customer Reassurance module)
(edit with the Customer Reassurance module)
(edit with the Customer Reassurance module)
Ni upendo unaochanua, ua hili linafaa kwenye kila sehemu ya nyumba, iwe sebuleni, jikoni, veranda au hata baraza ya nje pembeni ya mlango. Kuendana na rangi ya nyumba yako, chagua pot ya rangi upendayo. Lemongrass hii (au mchaichai) ni ile yenye muonekano wa alizeti (sunflower).
check_circle
check_circle
Comments (0)
Your review appreciation cannot be sent
Report comment
Report sent
Your report cannot be sent